Project Hope     uct >>stonecroft >> mkakati wa stonecroft wa kuwawezesha wanawake >> historia
HISTORIA YA STONECROFT:

Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club

Kufikia leo hii,huduma ya Stonecroft inawafikia maelfu ya watu dunia nzima kila mwaka,lakini historia ya Stonecroft ilianza na mwanamke mmoja aitwaye— Helen Duff Baugh – mwanamke aliye na imani isio teteleka,mwanamke wa Maombi,mwanamke ambaye aliguswa sana na maisha yaw engine.

Kuanza hapo mwaka 1938, makundi kama hayo ya kiamama wafanyao biashara yalianzishwa nnchi nzima, mnamo1948, Binti Mary E. Clark, Mwanamke aliyekuwa mfanya biashara hapo kale na mmishenari,aliamua kuitikia wito wa Mungu na kujiunga Mama Baugh katika kumsaidia kwenye huduma yake ya uinjilisti ambayo ilikuwa inakuwa kwa haraka sana.

Katika mwaka1952, Mungu kwa neema yake aliweza kuwapatia Jengo katika mji wa Kansas,Missouri,ambapo hapo ndipo palikuwa ofisi zao za kitaifa,Jengo hilo likaitwa Stonecroft,likiwa na maana ya “Nyumba ya Mwamba”. Hii ilikuwa ni ukumbusho kuwa Yesu Kristo ni Mwamba na ni jiwe kuu la msingi.

Kwa zaidi ya mika 70 , Mungu kwa uaminifu amekuwa akilinda,kuwapatia mahitaji yao,na kuongoza huduma ya Stonecroft,katika tamaduni inayo badirika haraka sana,mambo mawili ni muhimu sana.Kujitoa kwetu katika maombi na Uinjilisti

Stonecroft kwa sasa wamehamia ofisi ndogo maana ofisi zao za mwanzo wameuza ili pesa za ziada wapate kuzipeleka katika uinjilisti.

 
     
Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us