Women's Empowerment Sponsorship Program
Contact us
    uct >> stonecroft >>  kabla ya masomo ya biblia

KABLA YA MASOMO YA BIBLIA

Vitu muhimu –

Unaweza ukawa kiongozi uliye thibitishwa na Stonecroft wetu kwa kujaza fomu iliyo tafsiriwa kwa Kiswahili.

Tunataka kujiridhisha kuwa baada ya kusoma kanuni na sheria pamoja na maelezo yetu ya imani, huna wasiwasi tena nasi.

Vitu vinavyo hitajika katika kujisomea:

1. Vitabu vya utangulizi vya utatu vilivyotafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili vinaweza patikana ,katika makao makuu ya ATBS, Mbeya, Tanzania.

2. Vitabu vya mwongozo vinapatikana makao makuu ya ATBS, Mbeya, Tanzania.

3. Biblia ya Kiswahili inapatika 'Tanzania Bible Society', na madukani.

4. Je unaweza kuamini hili? Nacho kimetafsiriwa kwa Kiswahili kinapatikana katika makao makuu ya ATBS, Mbeya, Tanzania.

5 Kadi ya maelezo nayo imetafsiliwa inapatikana makao makuu ya ATBS, Mbeya, Tanzania.

6. Fomu ya maombi ya kiongozi nayo inapatika katika makao makuu ATBS, Mbeya, Tanzania.

Tafuta eneo zuli kwa ajili ya kujisomea biblia, labda nyumbani, kanisani, shuleni, nyumbani katika kivuli chini ya mti.

MAANDALIZI YA KIONGOZI KABLA YA MASOMO:

Hakikisha unajibu maswali yote ya kijitabu cha mwongozo kabla ya kuanza kusoma vitabu, hii itakuwezesha kuelewa watakao kuwa na wajibu wanapitia katika wakati gani kabla ya kupata majibu halisi.

• Fanya zoezi la kusoma hayo masomo kwa sauti, ikiwezekana,pigia msitali maneno muhimu utakayo ongelea katika kundi lako, masomo hayo yasizidi saa moja na nusu1 – 1 1/2 hasa pale ambapo masomo haya yanaendeshwa katika kuwezesha wakina mamam yani 'Stonecroft Women’s Empowerment Program' (SWEP)maana wanawake watahitaji kuondoka na kuanza kujifunza kushona.

• Wakati huo huo wanafunzi wa SWEP wanapofurahi masomo yao,watoto wao watakuwa wakihudhulia 'Powerclu' wakijifunza njia za Mungu kupitia Kids in Ministry International (KIMI) pamoja na watoto wengine kutoka katika mkakati wa 'Kids Evangelism Explosion' (Kids EE)..

• Maeneo haya kwa wakatio huu yatakuwa;
Tanzania – Africa Training Bible School (ATBS) – Mbeya, Tanzania.
Uganda – Hope Community Centre, Kampala, Uganda.
Malawi – Africa Training Bible School (ATBS) – Uluwa and Vulwa, Malawi.

• Omba juu ya wale watakao kuwa wanakuja.


  Wezesha Kitabu cha mkononi YOU TUBE
     
Copyright ©  2019 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us