Project Hope     home >> stonecroft>>roho mtakatifu yuko wapi?>>somo la tatu (3) >>somo la nne (4)
Stonecroft - Roho Mtakatifu yuko wapi? - Somo la nne #4
Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club

Nawezaje kuwa mkristo nizaae matunda?

Download Lesson #4 Student Studybook page 1-2

Download Lesson #4 Student Studybook page 3-4

Download Swahili Lesson #4 Bible Verse Handbook page 1-2

Download Swahili Lesson #4 Bible Verse Handbook page 3-4

Maombi
Baba yetu wa Mbinguni neema yako nikubwa sana kwangu.
Siwezi kuishi kama ulivyopanga pasipo msaaqda wako.
Nashukuru kwa kunipa Roho wa bwana kusihi ndani yangu.
Nisaidie kuishi katika ulinzi wake maana natambua hiyo ndio njia pekee nitakayo weza kuishi kama mkristo.
Naomba haya kwa jina la Yesu Amen.

Kujisomea Biblia kwa Juma

Soma vifungu vifuatatvyo na andika andiko ambalo unaona kuwa ni muhimu sana kwako.

1 Wakorintho 13:1-13

_______________________________________________________________________

Warumi 8:1-8

_______________________________________________________________________

Warumi 8:9-17

_______________________________________________________________________

1 Wakorintho 12:1-11

_______________________________________________________________________

1 Yohana 4:7-21

_______________________________________________________________________

Wagalatia 5:16-26

1. Roho wa Mungu ataleta matokeo ya kustaajabisha ikiwa kama tutamtii.

Andika mambo 9 ambayo mkristo huwa nayo pindi akiwa na Roho Mtakatifu. Wagalatia 5:22-23
_______________________________________________________________________

2. Tunda la Roho limetaja hivyo gawa katika makundi matatu katika mtililiko unaopatikana katika. Wagalatia 5:22-23

Tunda la Roho

Tabia Matendo Mwenendo

1)

4)

7)

2)

5)

8)

3)

6)
9)

Upendo

1. Maisha ya Mkristo ni maisha ya Upendo. Oanisha maneno yafuatayo na vifungu vya biblia taja hapa chini.

a. Walosai 3:19
b. Luka 6:27-28
c. Tito 2:3-4
d. Yohana 13:34-35
e. Mathayo 22:39
f. Waefeso 5:2

Pendaneni

_________________________________________________

Utawaliwe na Roho mtakatifu _________________________________________________

Penda mume wako na watoto _________________________________________________

Upendo mkeo

_________________________________________________

Penda jilani yako

_________________________________________________

Upendo mkeo

_________________________________________________

Wapende adui zako

_________________________________________________

Upendo sio tabia tu, bali ni matendo na mwendendo. Upendo haushii katika hisia tu, ni matendo, ambayo hutiwa nguvu na nia ya mtu. Warumi 12:9-10

Upendo ni dhabihu; ni ghalama, na inahusisha matendo, kujitolea muda, na huduma na kusikiliza pia, lakini unaweza kupenda kama huu ufafanuzi usemavyo. Warumi 5:5

Mungu anatupa upendo kwa Nguvu ya Roho mtakatifu, Yeye hutuwezesha kupenda kama yeye alivyo.

Furaha

Kama wakristo, tunakuwa na furaha hata kama tunapita katika magumu, mahusiano yetu na Mungu yako katika msingi wa furaha, ambayo haina mwisho. Wafilipi 4:4

Amani

Amani ni zawadi toka kwa Mungu ambayo tuliipata kutokana na kifo cha Yesu pale msalabani, niamani na Mungu,Amani na watu wote, amani wewe mwenyewe, haya yote hijaza mioyo ambayo ina mahusiano na Mungu. Soma Wafilipi 4:6-7

4. Ni mambo yapi katika maisha yanayo kufanaya uwe na wasiwasi na kukoksa amani ya Mungu? Utafanya nini juma hili ili umwamini Mungu? ________________________________________________________________

_______________________________________________________________________

Saburi

Saburi ni uwezo wa kuvumilia na kuweza kupita hata maeneo magumu. Warumi 15:5

5. Je kuna hali yeyote katika maisha yako ambayo unaonja inahitaji uwe na saburi?

_______________________________________________________________________

_______________________________________________________________________

Utu wema

Utu wema kuna wakati hutafsiliwa kama mtu mwenye utu, huyu mtu mweney kujali na kutenda kwa uangalifu mkubwa. Soma Wakolosai 3:12

6. Fikilia hali ambayo ilikufanya usiwe mtu mwema katika kutenda au kufikilia, muombe Mungu akupe mwelekeo mpya katika hali hiyo. Andika jibu lako la sasa liytakuwa ni lipi?

_______________________________________________________________________

_______________________________________________________________________

Uzuri

Hii ni sifa ya Mungu, inatufunulia juu ya utakatifu wa Mungu na hali yake ya kutokuwa na chembe ya dhambi. Soma Waefeso 2:10

Uaminifu

Ni kumwani Mungu, Hii hali huonyesha uwepo wa Mungu katika katika maisha yetu, uaminifu hudhilika kwa mtu mwaminifu na wakutegemewa. Soma Luka 16:10-12

7. Ni eneo gani katika maisha yako unaloliona linahitajika Mungu akusaidie kuwa mwaminifu.

_______________________________________________________________________

_______________________________________________________________________

Uneyeykevu

Ni kujisalisha katika mwongozo wa Mungu, Mfano mzuri wa unyenyekevu ni Yesu. Soma Wafilipi 2:3-8

Unyenyekevu hauna, kujifuna wala kujiinua, ni kuachana na kunyenyekea kwa uwongo

Kiasi [Kujizuia]

Maisha yetu yote yakiwa chini ya mwongozo wa Roho myakatifu, tutaonyesha kujizuia pindi tujaribiwapo, hatuhitaji kuanguka dhambini, tutakuwa na ushindi maana tuna nguvu ya Mungu ndani yetu. Soma Tito 2:11-12

Karama za Roho

Karama za Roho ni tofauti na tunda la Roho, kila mkristo analo tunda la Roho lakini sio kila karama ya Roho, Kila mkristo anaweza akawa nay o karama moja lakini hakuna mkristo mwenye karama zote. (1 Wakorintho 12:11)

Pia tambua tofauti hii, tunda la Roho linamfanya mwamini awe na mahusiano mazuri na Munguy pamoja na wanadamu. Lakini karama za Roho ni kwa ajili ya Huduma kwa Mungu. ( I Petro 4:10)

Mwalimuy wa Biblia Charles C.Ryrie anatofautisha baina ya uwezo wa kiasili, wa kujifunza na ule wa Roho.

Uwezo wa asili - umakenika, na mengineyo.

Wa kujifunza - uselemara na mambo mengine.

Wa Kiroho - ni karama ambazo zitumike katika kumtumikia Mungu.

8. Kazi ya karama hizi ni nini?
1 Petro 4:10

_______________________________________________________________________

_______________________________________________________________________

9. Taja karama za kiroho zilizo tajwa katika vifungu vifuatavyo.

1 Wakorintho 12:8-10

_______________________________________________________________________

______________________________________________________________________

Warumi 12:6-8

_______________________________________________________________________

_______________________________________________________________________

Roho mtakatifu hutupatia lile tu ambalo Mungu
anahitaji tuwe nalo katika maisha yetu

10. Andika ombi la kumshukuru Mungu kwa kukupa tunda na karama za Roho, muombe akusaidie ili umtii Roho, ili atekeleze mpango wake timilifu katika maisha yako.

_______________________________________________________________________

_______________________________________________________________________

This is a translation of 'Who is the Holy Spirit?' Stonecroft's Students Study Book Lesson #4 in Swahili, the English version of Who is the Holy Spirit? is available online from Stonecroft's website.

This transforming study will reveal who Jesus is, what He does, and what life is like when He lives within you. Learn what the Holy Spirit does in the life of a Christian and how He can help you grow to be more like Christ. (6 lessons)

The Guide has her own Guidebook to help her lead and guide the lesson.

Download Swahili Lesson #4 Guidebook

Download Swahili Guidebook Bible Verses Lesson #4

Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us