Project Hope     home >>stonecroft>> yesu ni nani? >> somo 1 >> somo 2
Yesu ni nani? - Somo #2
Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club
YESU ALISEMA NINI?

Download Swahili Lesson #2 Student Study Book

Download Swahili Lesson #2 Bible Verses Handbook

Maombi
Mungu baba uliyembinguni, kitabu ulichokiandika kina uwezo wa ajabu sana, kina kweli ya kutosha, nataka kujifunza nini ambacho Yesu aliweza kuwafundisha watu. Naomba nifungue macho na ufahamu ili niweze kuelewa neno lako. Ninaomba katika jina lako la uweza, AMEN.

Kujisomea Biblia Kwa Juma

Soma mistari hii ifutayo katika Biblia na uandike kwa maneno yako mwenyewe kile kitu ambacho Yesu alikuwa anawaambia watu wake.

Mathayo 5:1-12
____________________________________________________________________
Mathayo 5:13-16
_____________________________________________________________________
Mathayo 6:1-15
_____________________________________________________________________
Mathayo 6:24-34
_____________________________________________________________________
Mathayo 7:1-12
_____________________________________________________________________
Mathayo 7:13-20
_____________________________________________________________________
Mathayo 7:21-27
______________________________________________________________________

1. Mungu alijitambulisha mwenyewe kwa musa. MIMI NIKO AMBAYE NIKO (Kutoka 3:14). Mara nyingi katika injili zake Yesu alise MIMI NIKO, alimalizia kile ambacho kilionekana kama hakijakamilika katika sentensi (MIMI NIKO….) kwa maneno aliyokuwa anawaambia watu jinsi alivyo kwa wale wanaomwamini. Hebu soma vifungu vifuatavyo katika Biblia na uweze kukamilisha sentensi.

a. Yohana 13:19……. Mimi _________________________________________________
b. Yohana 8:12…..…. Mimi _________________________________________________
c. Yohana 10:9…..…. Mimi __________________________________________________
d. Yohana 10:11…… Mimi __________________________________________________
e. Yohana 10:36..….. Mimi ___________________________________________________
f. Yohana 11:25…..... Mimi __________________________________________________
g. Yohana 6:48…….. Mimi ___________________________________________________
h. Yohana 14:6….…. Mimi ___________________________________________________

Majina na vichwa vilivyopewa na Yesu , katika somo la kwanza na katika maswali yaliyopita inaonyesha sifa yake.

Muda mwingine katika maisha yetu, majina mengine hyanaweza kuwa na maana kubwa kwetu sisi. Mkwa mfano, muda ule ambao tunahitajia ulinzi na kutuongoza, ukisema “Mchungaji Mwema” linakuwa na maana kubwa zaidi kwa upande wetu. Pale ambapo tunasoma Biblia na kula cha kiroho yeye ni “Mate wa Uzima”.

2. Ni majina gani katika swali la kwanza yana maana kubwa sana katika maisha yako?
_____________________________________________________________________

Hotuba ambayo Yesu aliitoa.
Hotuba “ni mahubiri yanayotolewa ili kuwafundisha au kuelekeza katika dini au katika maadili”.

3. Soma hotuba au mafundisho aliyotoa Yesu mlimani yanayopatikana katika ukurasa wa 9-18, Mathayo 5:1-7: 29. Orodhesha vichwa vidogo vya habari ambavyo vimetiliwa wino wa kukolezwa na vitabu vya Biblia vya kumbukumbu/ vya mrejeo ambavyo vilikuwa vya muhimu kwako.

Mfano:
Kufundisha kuhusu hasira............................................................ Mathayo 5:21-26
_________________________________________________________________________

Hadithi ambayo Yesu aliwaambia

Mfano' ni hadithi fupi na rahisi ambayo inazungumzia ukweli iwe kiroho au kimwili na kwa ajili ya kurekebisha tabia Fulani.

4. Siku moja, pembezoni mwa bahari, Yesu aifundisha mahubiri mazuri sana ambayo yalikuwa yamebeba hadithi ndogo ndogo. Mathayo 13:1-58. Kisha orodhesha majina ya mifano hiyo iliyoandikwa katika vifungu hivyo.

__________________________________________________________________________

Kwa ujumla, Yesu alisema mifano 60 amayo hiyo mifano yote imeandikwa ndani ya Biblia.Mifani mingine aliyoizungumza Yesu imerudiwa katika injili zingine. Mfano ambao huwa unajulikana sana ni ule Mfano wa Mpanzi.

5. Mathayo, Marko na Luka waliweka kumbukumbu ya Yesu na mifano yake aliyokuwa anazungumza Yesu alipokuwa duniani. Soma Luka 8:11-15.

a. Nini ambacho mpanzi alipanda?
___________________________________________________________________________

b. Nini kinasababisha mbegu ya neno la mungu isikae sana ndani yetu?
___________________________________________________________________________

c. Kwa nini udongo mwingine unaruhusu mazao yazae sana na mwingine unaruhusu kuzaa kidogo.
___________________________________________________________________________

6. Hebu fikiria kuhusu ule mfano wa udongo.

a. Ni udongo upi ambao unaashiria maisha yako?
___________________________________________________________________________
b. Je ni mabadiliko gani ambayo yanahitajika ndani ya maisha yako ili uwe kama udongo mzuri?
___________________________________________________________________________

Unabii ambayo Yesu alisema

Unabii unatoka “katika kuzungumza chini ya uongozi wa mungu mwanyewe, yaani pale unabii unapotolewa ni mungu mwenyewe anazungumza”.

7. Agano jipya lina unabii mwingi sana ambao Yesu aliusema, vifunu vifuatavyo vichache tu vinazungumzia kabisa kuhusu unabii ambao Yesu alisema katika agano jipya. Andika kitabu cha rejea kwa usahihi baada ya kusoma nabii hizi alizozisema Yesu.

Marko 8:38
Marko 14:72
Luka 24:5-7
Yohana 5:25-29
Yohana 12:32-33

Unabii
Rejea ya Biblia
a. Wanafunzi wake kumkana/ kumkataa
b. Kufa kwake Yesu
c. Kufufuka kwake
d. Ufufuo wetu wa baadaye
e. Kuja kwake tena

8. Maneno ambayo Yesu alikuwa anayasema je yalitokea wapi?

Yohana 17:5-8

Hata katika agano la kale tunasoma kuhusiana na jinsi mungu alivyokuwa anaongea na wale manabii, makuhani na wafalme wa nyakati hizo. Biblia imeweka kumbukumbu sahihi kabisa kwa kusema hivi “ MUNGU alisema…….” Au “ neno la BWANA likamjia kusema….” Vivyo hivyo hata katika agano jipya mungu alisema na watu wake.

9. Nani aliambiwa na mungu neno na ujumbe katika vifungu vifuatavyo katika agano jipya?

a. Marko 1:10-11
_____________________________________________________________________

b. Yohana 1:32-33
_____________________________________________________________________

c. Matendo 11:4-9
_____________________________________________________________________

10. Je umejifunza nini katika somo hili kuhusu Yesu na ni nini alichokisema?
_____________________________________________________________________

Maombi
Mungu baba asante kwa maana naweza kujua kuwa kila jambo ulilolisema ni kweli. Hakuna mtu aliyesema kama ulivysema. Sasa naweza nikategemea ahadi zako. Asante kwa kunifundisha. Ninaoma katika jina lako, AMEN..

Maelezo
__________________________________________________________________

This is a translation of Who is Jesus? Stonecroft's Students Study Book Lesson #2 in Swahili, the English version of Who is Jesus? is available online from Stonecroft's website.

Download Swahili Lesson #2 Student Study Book

Download Swahili Lesson #2 Bible Verses Handbook

The Guide has her own Guidebook to help her lead and guide the lesson.

Lesson #2 Swahili Guidebook (To be translated)

Download Swahili Guidebook Bible Verses Lesson #2
 
 

YESY NI NANI?

 
 
Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us