Project Hope     home>> mwongozo >> somo 4 >> somo 5
Mwongozo Somo #5
Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club

SOMO LA TANO (5)
NANI ANAWEZA KUMJUA MUNGU?

LENGO LA SOMO
• Kuelewa umuhimu wa kuzaliwa upya.
• Kuwa na nafasi ya kumpokea Yesu kama mwokozi wa maisha yetu.

Somo hili linatupa nafasi ya kumpokea Yesu kristo kuwa bwana na mwokozi kaytika maisha yetu. Inatakiwa kuwa na hili swali la msingi kuwa jwe unaamini? Jarada zinaweza kugawiwa kwa wale wote ambao wanataka kujua zaidi kuhusu wokovu wao, na kutajua jinsi ya kuwa wakristo. Soma pamoja nao, wape nafasi ya kuomba. Hii itasaidia hata wale ambao wana mashaka kuhusu wokovu wao.

MAOMBI
Mungu mwenyezi, tunataka kusoma zaidi kuhusu wewe. Tusaidie kuelewa vitu tunavyovisoma, tunajua ukweli kuwa wewe ni Mungu ambaye upo juu sana hata juu ya uumbaji wako, lakini bado unatgaka kuwana ushirika na sisi. Tunaomba katika jina ola Yesu kristo ……..AMEN

MAONI YA UONGOZI
Kuna somo moja tu lililobakia katika mafunzo haya, na tumeshaanza kusona kuwa Mungu ni nani, na yukoje, au anaonekanaje? Mung ni mkuu kuliko vile ambavyo tunaweza kufikiria. Maisha yetu yote, tutaendelea kuyaona na kujifunza maajabu ya Mungu.

Kwa haraka haraka tu jibu swali lifuatalo ambalo linahusisha kile tulichojifunza.
Tunajuaje kuwa kuna Mungu anayeishi?...........(Jadiliana).

Biblia inasema kuwa , Mungu yupo, na atakuwepo na ataendelea kuwepo.. uumbaji wote munatuambia kuwa Mungu anaishi na yupoi. Roho ,zetu pia nazo zinathibitisha hili kwa maana yeye anatupenda, ni mwaminifu na tuko pamoja nay eye katika maisha yetu.

Mungu yuko wapi?...... (Jadiliana)

Mungu yuko kila mahali. Amajijaza katika dunia, mbinguyni, na hata katika kila eneo. Yeye ni zaidi ya kila kitui kwani yeye kaumba kila kitu.

Ukiulizwa kwamaba kwa nini kuna Mungu mmoja , mtoto alitoa jibu hili. "Kwa sababu Mungu amejijaza karibia katika kilka eneo kwa hiyo hakuna eneo la mtu mwingine tena."

Tunajuaje kuwa Mungu anataka sana sisi tumfahamu yeye.?....... (Jadiliana)

Mungu ametuambia sisi katika kitabu kuhusu yeye mwenyewe, (Biblia). Tangu Mwanzo Mungu amakuwa akijhifunua jiunmsi alivyoi kama mwanadamu. Mungu ameoonyesha upendo wake na huruma zake kwetu kwa njia tofauti tofauti katika maisha yetu. Hata hivyo bado tunashindwa kutambua kuwa mambo yanatokea kama ilivuyyopangwa kwa kuwa Mungu anafanya kazi kwa ajili yetu.

Tumeshajiifunza kuhusiana na asili na sifa za Mungu. Lakini tunatambua kuwa kumfahamu Mungu iko nje ya uwezo wetu na uelewa wetu.

Mungu hatarajii kuona tunajua kila kitu kuhusu yeye, lakini anataka kilka mtu ajue mambo ya muhimu yafuatayo.

• Mungu ni Mungu mmoja tu. Ambaye yupo katika sehemu tatu. Mungu baba, Yesu Kristo, ( Mwana wake), na Roho Mtyakatifu.
• Mungu baba ni Roho ya uungu.
• Yesu kristo alikujaduniani na alivaa ubinadamu kama binadamu wengine.
• Kama mwanadamu aliishi maisha matakatifu.
• Alikufa msalabani, alizikwa, na akafufuka kutoka kwa wafu.
• Baada ya ufufuo wake, alirudi tena mbinguni katika mwili wake wa utakatifu.
• Mungu Roho mtakatifu yeye haonekani kwa macho, lakini yuko pamoja nasi.

Soma katika Yeremian 29:13

KUJISOMEA BIBLIA KWA JUMA

(Use your Bible or Africa Bible Verse Handbook)

Kila siku katika wiki hii, soma kifungu cha Biblia kwa siku na uweze kujibu maswali.

Yohana 14:21-23
Mungu atajionesha mwenyewe kwa nani?......
(Kwa wale wnaomytii yeye)

Warumi 5:6-9
Kwa nini Yesu alikufa kwa ajili yetu wakati smisi tulikuwa watenda dhambi?.......
(Kwa sababu anatupenda sana sisi)

1 Timotheo 2:1-6
Yesu anataka watu gani waokolewe?.........
(Kila mtu, au watu wote)

Yakobo 4:7-10
Ni kanuni mgani za kufuata ili Mungu aje awe karibu na sisi?.......
(Jitoe kwa Mungu, jitakase, kuwa msafi, na tujishjushe kwake. Tumsogelee Mungu na tuwe karibu naya atatrukaribia sisi)

Waebrania 11:6
Unappokuja kwa Mungu, kw anini inatakiwa uwe na imani ya kuamini?.......
(Kwamba anaishi and kuwazawadia wale wote wamtafutao)

Waebrania 11:27-30
Nani anatakiwa kumwalika Mungukumja ndani yake?.......
(Kwa mtu yeyotwe aliye tayari na mabaye am, echoka kuishi maisha ya matatizo N.K)

• Chagua mstari ambao unaona kwako una maana sana kutoka katika mistari iliyosomwa katika wiki hii. Jiulize mstari huo ulivyo na maana kwako wewe kama wewe na utumie katika maisha yako.

Ni mstari gani ambao ulikua wa maana sana kwako?....... Je uliathirir wiki yako? Tuambie nini ambacho kilitokea……

1. Biblia inasemaje kuhusu mtu jinsi ya kiumjua Mungu?

Zaburi 46:10………
(Munche Mungu aitwe Mungu)

Zaburi 145:18-19………
Muite Mungu katika mahitaji yako, lakini uwe na mtazamo chanya. Hii ni ahadi nzuri sana. (Mungu anasema kuwa atakusikia wewe)

Isaya 55:3……….
(Sikiliza sauti yake na uweze kuja kwake)

Waebrania 10:22……..
(Kuwa karibu naye, osha mikono yako na jitakase moyo wako)

Maarifa ya Mungu hayaji tu kwa ajili ya kujifunza na kufanyia utafiti hapana bali kutoka mkatika experience na muda wa kuishi na ropho w aMungu. Lakini kam,a hatuna kristo katika maisha yetu , hatuwezi kuelewa mambo ya Roho.

2. Yesu aliwaambia wanafunzi wake jinsi gani ambavyo wanatakiwa kumjua mumngu.

Soma katika Yohana 14:6-7………. Na uelezee nini ambacho aliwaambia.
(Njia ya kumjua Mungu ni kummjua kristo).

Yesu alikuwa anawaambia kuwa yeye ni njia ya kumjua Mungu nan i njia pia ya kwenda kwa Mungu, mna pia ni njia jya kwenda kwa Mungu. Ni jnjia pekee amabyio ,itatupeleka katika maishaya milele. Tunaweza kumfuata yeye na kujua kuwa yeye atatuonyesha njia sahihi.

Yesu aliposema kuwa yeye ni njia, tena ya kweli, alikua anamaanisha yeye ni Mungu wa kweli. Tukisnha mjua Yesu tyayari tunakuwa tumemjua Mungu na jinsi alivyo kwa sababu yeye kristo ni mwakilishi wa Mungu asiyeonekana.

Mungu ni nuru, soma katika 1 Yohana 1:5….. Tunapokuwa bila Mungu ina maana ya kwamba hatuna Mungu tena na tuko gizani. Kiasili skisi wote tuna dhambi ambayo tunazaliwa nayo..na sasa tunataka kumnfukia Mungu amabye ni mtakatifu aliyetuumba sisi.

Tumepungukiwa na utukufu hatuwezi maana tumekufa kiroho (Waefeso 2:1)

Kwa hiyo mpaka kufikia hapo ttunahitaji msaada mwingine wa ziada katika swala znima la kumwelekea Mungu. Ambaye ni mkamilifu.

Mungu anajua kuwa sisi ni wenye dhambi. Anajua kabisa kuwa hatuwezi kujiokoa sisi kama sisi tu peke yetu kutoka katika dhambi.

Warumi 3:20:24, inatttumbia jinsi ya kuw ahuru…..

Nenio kuamini lina maana kubwa sana kuliko hata kujua tu kwamba Yesu ni mwana wa Mungu. Ambaye alikufa kwa ajili yetu. Kuamini maana yake ni kuweka imani yako yote kwa Mungu, na kutubu dhambi zako.

Kutubu maana yake ni kubadili mwelekeo ambaioo ulikua unaenda na kuwa na mwelekeo mwingine. Maana yake ni kubadilika, na kumfuata Yesu, amabpo huwezi kwenda peke yako mpaka awepo Yesu.

Kutubu maana yakme ni kubadilika na kuanza kufuata njia za Mungu na kuziacha zile njia mbaya.

Mungu anasema nini kuhusu kifo na kuishi katika Ezekielei 18:32?.......

Mungu anataka sisi kuishi na sio kufa. Anatuambia sisi kuhusu kutubu ili tusife. Badala yake tutaishi milelel nay eye.

Watu wengi wanafa ya makosa kwa kumpe[pelea Mungu kwa kuwa wema tu. Wanajitahidi kufanya m,azuri ili mabaya yasiwe mengi sana.
Huo sio mwelekeo mzuri. Mtu kama mtu hawezi kujipatia nafasi yeye peke yaka katika kujigtengenezea njia nyingine ya mkuingia mbinguni.

Soma katika Watrumi 3:23…… na katjka Matendo ya mitume 4:12…..

Lazima tutambue hatuwezi kwenda mbinguni kwa nguvu zetu wenyewe. Jibu la Kwenda mbingu Mungu alishatupatia,lazima tumwamini Yesu, kifo na ufufuo wake.

Umepokea zawadi ya mwokovu ya Mungu?

Kama huna Yesu kristo maishanio mwako, zungumza na Mungu katika maombi, tubu au kiri, dhambi zako, na umwombe Mungu kukusamehe wewe na akupe maisha mya milele.

Mungu atakusamehe wewe kwa sababu msamaha na maisha ya milele ni zawadi anazotaka kukupa wewe. Hustahli hizi zawadi lakini kinachotakiwa ni kuamini kuwa umepata.

3. Soma mistari ifuatayo, nini ufanya ili upate vipawa au zawadi ya Mungu?..........

Yohan a 6:29…… (Amini katika kristo)

Yohana 5:24……. (Amini anacoamini Mungu, na upokee kipawa cha milele! Pale unapoamini umepata)

Soma katioka 1 Yohana 5:10-12.

4. Mungu alimwambia mtu kwamba inatakiwa aokoke.

Soma Yohana 3:1-8, kuana kile ambacho miungu alisema kuhusu kuokoka ili kuwa katika familia ya m,jungu………….

Andikka tarehe amabyo ulimwamini Yesu kriusto. Na kumpoke a kwa bwana nba mwokozi wa maisha yako.
_______________________________________________

Waulize washiriki muda walio mpokea Yesu katika maisha yao kuwa Bwana na mwokozi wao.na hili limewabadilishaje.kama hayupo wa kufanya hivyo basi sema wewe kwa kifupi.

5. Ulipoomba, kumwomba Yesu kristo kui gia ndani ya maisha yako, kuna mambo mengi ya ajabu yalitokea. Andika batraka ambazo mistari ifuatayo ya Biblia imezieleza sana.

a. Yohana 3:36……
(Uzima wa millele)

b. Yohana 16:24……
(Maombi yaliyojibiwa yanaleta furaha)

c. Warumi 4:7-8……
(Kusamehewa dhambi )

d. Warumi , 5:1……
(Tuklo pamoja na Mungu, na tuna amani na Mungu)

e. 2 Wakorintho 5:17……
(Wewe ni mtu mpya na Mwanzo mpya)

f. Waefeso 1:13……
(Umepewa Roho mtakatifu, kuishi na wewe)

g. Waebrania 13:5……
(Mungu hatakuacha wewe)

Tunapompokea Yesu kristo, Mungu anatupa sisi maisha ya milele. Maisha yetu mapya yapo kwa mwanawe, Yesu. Kwa sasa ni watoto wa Mungu ndani ya baba.tumeshazaliwa katrika familia takatifu.

Muumbaji wetu amekuwa,"mzazi wetu thabiti.
Mwaminifu katika upendo na kutulinda.
Anafurahishwa na kila tunachokifanya.
Anatuheshim u sana.
Anatufundisha kwa ,mbinu mbali mbali zenye ujuzi mkubwa sana.
Ni mlinzi wetu.
Mara zote anapatikana...."

Mungu ametuchagua sisi, ili tuwe watoto wake, na ametupatia haki zot. Mungu a mekuchagua wewe. Soma katika Waefeso 1:3-6……

Je tunaheshimu nafasi tukliyonayo., kama watoto wa Mungu?
Je tumemshukuru jkwa kutuchagua sisi?
Mungu sasa ni baba yetu wa mbvinguni, tunalonyesha sasa kuwa tunampenda sana yeye kwa kutii na kuendelea kunyenyekea mbele zake, katika kila jambo tulifanyalo.
Mungu alitoa wokovu kupitia Yesu kristo. Kifo cha Yesu pale msalabamni kiliondoa makosa yuetiu yote tuliyokuwa nayo, nna kutufanya kuwa huru zaidi. Mungu alifanya ,hili kwa kubadilishana.

Soma katika 2 Wakorintho 5:21 kutambua mbadilishano.
21” Mungu alimfanya yeye ambaye hakujua dhambi, awe dhambi kwa ajili yetu ili ndani yake tupate kuwa haki ya Mungu.”

Mbadilishano ulikuwa?...... . (Dhambi zetu na utakatifu wake)

Yesu krisjto yeye hakuwa na dhambi. Lakini alichukua dhambio zetu na kutufanya sisi kusamehewa kupitia yueye. Kachukua dhambio zetui na sisis akatupa utakatifu.

Sasa katika uso wa Mungu tuna utakatifu, wema, na usafi wa Yesu kristo. Tunajua kuwa hatuna hizo tabiasisi kama sisi. Lakini Mungu anatuaona katioka kristo.Kwa sababu yah uu mbadilishano.

Sisi tupo ndani ya kristo, na mugu anapotuangalia sisi, anatuona katika utakatifu wa Yesu kristo. Mungu alitupa kristo pale tunaamini. Soma Wafilipi 3:8-9…… Unaona ni zawadi gani kubwa ya namna hii Mungu aliyotupatia.

Kuna wakti mwingine maombi ni mtu binafsi lakini kuna wakati ambao tunataka sana kushirikiana Baraka na watu wengine. Kama ungependa kushirikisha maombi yako na sisi, kuna muda bado unaeza ukasema ili tusikie kabla hatujagitimisjha.

6. Andika maombi yako kwa Mungu kwa kuelezea uwepo wake ambao ni endelevu. Kumbuka kuwa haya maombi hayatashirikishwa katika kundi. Kwa hiyo andika maombi yako hapa:

MAOMBI
Baba uliye juu mbinguni asante kwa zawadi hii ya wokovu. Asante kwa kuifanikisha na inayotuwezesha kupata Baraka ambazo unazo kwa ajili ya wartoto wako. Tunapo jifunza somo la mwisho, tusaidie kujifunza kuwa karibu na kukusifu wewe. Tunaomba katika jina la Yesu…………AMEN

MAELEZO

_______________________________________________________________

_______________________________________________________________


 
 

This is a translation of 'What is God like?' Stonecroft's Guide Book Lesson #5 in Swahili, the English version of What is God like? is available online from Stonecroft's website.

In this fresh, engaging study, you will meet the Creator of life and the Sustainer of all things. As you study God's eternal characteristics, you will learn that He is majestic, all-powerful, holy, faithful, and just.

As you explore together what the Bible tells us about God, you'll also learn how to decide for yourself who He is and how He interacts with people. (6 lessons)

The Guide has her own Guidebook to help her lead and guide the lesson.

Download Full Guidebook

Download Lesson #2 Guidebook

Download Guidebook Bible Verses Lesson #2

Mwongozo Utakaotuongoza

 
 
Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us