Project Hope     home >> stonecroft>> mwongozo >> somo 1 >> mistari ya biblia
Mistari ya Biblia - Somo #1
Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club

MUNGU ANA MWONEKANO GANI?

MUNGU YUPO

Mistari ya Biblia

Swali #1

Waebrania 11: 6
6 Na pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu kwa maana kila mtu anayemjia ni lazima aamini kuwa yupo na kwamba yeye huwapa tuzo wale wanaomtafuta kwa bidii.

Swali #2

Nehemia 9:6
‘’Wewe ndiwe BWANA wewe peke yako,wewe ulifanyanya mbingu,mbingu za mbingu pamoja na jeshi lake lote,dunia na vyote vilivyomo bahali na vyote vilivyomo,nawe unavihifadhi vitu vyote hivi na jeshi la mbinguni linakusujudu wewe” Neno utakalo liona limeandikwa BWANA katika helufi kubwa hasa usomapo kitabu cha agano la akle hapo tambua kuwa wanamzungumzia Mungu. Jeshi la mbinguni ni malaika wa mbinguni.

Wakolosai 1:15-16
15 Kristo anafanana kabisa na Mungu asiyeonekana. Yeye ali kuwepo kabla Mungu hajaumba kitu cho chote. 16 Yeye ndiye ali yeumba vitu vyote mbinguni na duniani; vitu vinavyoonekana na visivyoonekana; kama ni viti vya enzi au nguvu, au watawala au milki na mamlaka: vyote viliumbwa na yeye kwa ajili yake.

Swali #3

Zaburi 102:12.25-27
Bali wewe BWANA utaketi ukimiliki milele na kumbu kumbu lako kizazi hata kizaz.i
Hapo mwanzo uliutia msingi wan chi na mbingu ni kazi za moikono yako.
Hizi zitaaribika bali wewe utadumu naam hizi zitachakaa kama nguo, Neno utakalo liona limeandikwa BWANA katika helufi kubwa hasa usomapo kitabu cha agano la akle hapo tambua kuwa wanamzungumzia Mungu. Jeshi la mbinguni ni malaika wa mbinguni, na kama mavazi utazibadirisha nazo zitabadirika.
Bali wewe u wewe Yule na miaka yako haitakoma.

Swali #4

Isaya 44:6
BWANA wa majeshoi asema hivi,mimi ni wa kwanza na mimi ni wa mwisho zaidi yangu hakuna mwingine.

Isaya 45:5
Mimi ni BWANA wala zaidi yangu mimi hapana Mungungu mweingine, nitakufunga mshipi ijapokuwa haukunijua.

Swali #5

Micah 5:2
2 “But you, Bethlehem Ephrathah,
though you are small among the clans of Judah,
out of you will come for me
one who will be ruler over Israel,
whose origins are from of old,
from ancient times.”

Mathayo 2:4-6
4 Herode akaitisha mkutano wa makuhani wakuu na waandishi, akawataka wamweleze mahali ambapo Kristo angezaliwa.
5 Wakamjibu, “Atazaliwa Betlehemu ya Yudea, kwa maana nabii aliandika hivi kuhusu jambo hili: 6 ‘Nawe Betlehemu, katika nchi ya Yuda, wewe si wa mwisho miongoni mwa watawala wa Yuda; kwa maana atatoka mtawala kwako atakayetawala watu wangu Israeli.

Swali #6

Psalm 22:18
18 They divide my clothes among them
and cast lots for my garment.

Yohana 19:23-24
23 Maaskari walipokwisha msulubisha Yesu, walichukua mavazi yake wakayagawa mafungu manne; kila askari akapata moja. Ila wal ikubaliana wasipasue ile kanzu yake kwa maana ilikuwa imefumwa tangu juu hadi chini na haikukatwa mahali po pote. 24 Wakaam biana, “Tusiipasue ila tupige kura tuone ni nani aichukue.” Hii ilitimiza yale Maandiko yaliyosema, “Waligawana mavazi yangu, na kanzu yangu wakaipigia kura.”

Swali #7

Luka 24:27, 44
27 Akawafafanulia maandiko yalivyosema kumhusu yeye, akianzia na maandiko ya Musa na kupitia maandiko yote ya manabii.
44 Akawaambia, “Haya ndiyo mambo niliyowaambia nilipokuwa pamoja nanyi; kwamba yote yaliyoandikwa kunihusu mimi katika she ria ya Musa, katika Maandiko ya manabii na Zaburi hayana budi kutimizwa.”

Swali #8

2 Timotheo 3:16 - 17
16 Andiko zima lina pumzi ya Mungu nalo lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kuwaongoza na kuwafundisha katika haki 17 ili mtu wa Mungu awe kamili akiwa na nyenzo zote za kutenda kila jambo jema.

 
 

The Guide has her own Guidebook to help her lead and guide the lesson.

Download Swahili Full Guidebook

Download Swahili Lesson #1 Guidebook Introduction

Download Swahili Lesson #1 Guidebook

Download Swahili Guidebook Bible Verses Lesson#1

Mwongozo Utakaotuongoza

Mistari ya Biblia

 
 
Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us