| nyumbani>> kupanda mbegu ya yesu >>uinjilisti wa watoto 
 Uinjilisti wa Watoto   
 UWASILISHAJI WA INJILI:PAKUA “Baba Mpendwa wa Mbinguni, asante kwa kumtuma mwanao Yesu…Najua kuwa Yesu ni Mungu, nakushukuru Yesu kwa kushuka kutoka Mbinguni, kwa kuishi maisha makamilifu, kwa kufa msalabani na kufufuka kutoka kwa wafu. Ninajua kuwa nimefanya mambo fulani mabaya. Ninajuta kwa dhambi zangu na maisha ambayo nimeishi.Sasa niko tayari kuziacha dhambi zangu. Nataka unisamehe dhambi zangu na uje maishani mwangu kama Bwana na Mwokozi wangu
 Nitaziacha njia zangu mbaya na kukufuata.
 Amina”.
 
 
 |