Project Hope     home >>vijana wa stonecroft>> je mungu yokoje?
Vijana wa Stonecroft - Je Mungu yokoje?
Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club

Utangulizi
JE MUNGU YUKOJE?
Je umewahi kujiuliza au kushangaa


Biblia inatuambia kuwa Mungu alikuwako amekuwako na atakuwako, yeye ni muumbaji wa kila kitu na ni mtunzaji wa uhai wote. Mungu ni Roho na mwenye nguvu, mtakatifu na mwaminifu.

Sifa za Mungu zisizo na kipimo au kiwango ni zaidi ya vile tunavyoweza kufikiri kwa upeo wetu mdogo, lakini ni rahisi kujua habari za kumhusu Mungu pasipo kumjua, je unamjua Mungu? Maana kumjua Mungu ndio msingi muhimu wa maisha, tuliumbwa ili tumjue na kumpa yeye utukufu, tunajidanganya iwapo tunataka kuishi maisha yasiyo kuwa na Mungu ndani yake.

Mungu akubariki unapoendelea kusoma masomo haya.
Maana BWANA aliyeziumba mbingu asema hivi
Yeye ni Mungu ndiye aliumba dunia na kuifanya
Ndiye aliye ifanya imara hakuimba ukiwa
Aliiumba ili ikaliwe na watu,mimi ni BWANA wala hapana mwingine.
Isaya 45:18


Huduma
ya Stonecroft
www.stonecroft.org

Toleo la rejeo
Lucille Sollenberger,BS,M.A

Kimechapishwa na huduma ya Stonecroft
Stonecroft Ministries, Inc.
Office Location: 10561 Barkley, Suite 500,
Overland Park, KS 66212
Phone: 1.800.525.8627
FAX: 816.763.5565
E-mail: connections@stonecroft.org

 

 
 

JE MUNGU YUKOJE?

 
 
Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us