Project Hope     home >>vijana wa stonecroft>>mkakati wa mwongozo wa kufunza
MKAKATI WA MWONGOZO WA KUFUNZA:
Women's Empowerment  Program
Sports Bible Club
Living Water Bible Club

Huduma ya Stonecroft imejiwekea kanuni kwa jili ya masomo yake ya kibiblia, ni muhimu kwa mtu yeyote anae hudumu katika huduma hii ya Stonecroft afuate hizosheria na kanuni.

Injili ya Yesu ambayo imeandikwa katika kila somo la Stonecroft ni muhimu kuwa ihunbiriwe kwa uhakika na umakini mkubwa.

Huduma ya Stonecroft hawana msimamo mwingine wa imani,au msimamo wa kisiasa nje ya maelezo yao ya imani.

Wote ambao wanajihusisha na Stonecroft watafanya haya yafuatayo:

• Kukubariana na msingi wa imani ya huduma ya Stonecroft.

• Kutenda kazi kwa ushiriano na kanisa lako.

• Kila neno litakalo nenwa katika mjadala au mazungumzo wakati wa masomo huo sio msiomamo wetu kama huduma ya Stonecroft .
Katika kujisomea haya masomo ya biblia ya Stonecroft, ni muhimu wahusika wote wakatumia vitabu ambavyo vimethibitishwa na Sonecroft, katika somo la utangulizi inashauliwa kuwa wahusika wote watumie aina moja ya biblia ya Kiswahili.

Watu wote ambao watakuwa wanaisimamia au kuongoza haya masomo ya kibiblia ya Stonecroft ni lazima watume maombi, waongozaji na wakufunzi hufundishwa na kiongozi wa eneo husika ,video ya masomo hayo imekwisha andaliwa na Stonecroft Barbados ili kuwezesha kuwafunza wale watu ambao wako Tanzania, Malawi, Uganda na nchi nyingine za Kiafrica, hii video ya dakika 15 itarecodiwa kwa Kiswahili na lugha nyingine za kiafrika, hii yote ni katika kuhakikisha kuwa tunawafunza wale ambao watakuwa viongozi, ukiambatanisha na Mwongozo hii itawapa uwezo mkubwa katika huduma.

Mafunzo ya Mwongozo

 
     
Copyright ©  2023 www.UnitedCaribbean.com. All rights reserved. Disclaimer Click to Contact us